Wimbo Ulio Bora 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wimbo ulio bora, wa Sulemani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wimbo wa Solomoni ulio bora kuliko nyimbo zote. Biblia Habari Njema - BHND Wimbo wa Solomoni ulio bora kuliko nyimbo zote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wimbo wa Solomoni ulio bora kuliko nyimbo zote. Neno: Bibilia Takatifu Wimbo ulio bora wa Sulemani. Neno: Maandiko Matakatifu Wimbo ulio bora wa Sulemani. BIBLIA KISWAHILI Wimbo ulio bora, wa Sulemani. |
BWANA akampa Sulemani hekima, kama alivyomwahidia. Ikawa amani kati yao Hiramu na Sulemani; wakafanya mikataba kati yao wawili.
Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Na nimwimbie mpenzi wangu wimbo wa mpenzi wangu kuhusu shamba lake la mizabibu. Mpenzi wangu alikuwa na shamba la mizabibu, Kilimani penye kuzaa sana;