Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Waroma 7:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi torati ni takatifu, na ile amri ni takatifu, na ya haki, na njema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri. Biblia Habari Njema - BHND Basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo basi, Torati yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo basi, Torati yenyewe ni takatifu, na amri ni takatifu na ya haki, tena ni njema. BIBLIA KISWAHILI Basi torati ni takatifu, na ile amri ni takatifu, na ya haki, na njema. |
Tena ulishuka juu ya mlima Sinai, ukasema nao toka mbinguni, ukawapa hukumu za haki, na sheria za kweli, na amri nzuri na maagizo;
Wala msifuate kanuni za dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Basi, je! Twaibatilisha sheria kwa imani hiyo? La hasha! Kinyume cha hayo twaithibitisha sheria.
Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi.
Na sasa, Israeli, BWANA, Mungu wako, anataka nini kwako, ila umche BWANA, Mungu wako, na kwenda katika njia zake zote, na kumpenda, na kumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;
Tena liko taifa gani kubwa, lililo na amri na hukumu zenye haki kama torati hii yote, ninayoiweka mbele yenu leo?