Waroma 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Biblia Habari Njema - BHND Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake. Neno: Bibilia Takatifu Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. Neno: Maandiko Matakatifu Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili. BIBLIA KISWAHILI Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni. |
Kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani, bali kana kwamba kwa njia ya matendo. Wakajikwaa juu ya jiwe lile likwazalo,