Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Waroma 3:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vinywa vyao vimejaa laana chungu. Biblia Habari Njema - BHND Vinywa vyao vimejaa laana chungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vinywa vyao vimejaa laana chungu. Neno: Bibilia Takatifu “Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” Neno: Maandiko Matakatifu “Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” BIBLIA KISWAHILI Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu. |
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.
Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matusi yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya;
Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haifai mambo hayo kuwa hivyo.