Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?
Waroma 15:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndiyo sababu nilizuiwa mara nyingi nisije kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu. Neno: Bibilia Takatifu Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu. Neno: Maandiko Matakatifu Hii ndiyo sababu nimezuiliwa mara nyingi nisiweze kuja kwenu. BIBLIA KISWAHILI Ndiyo sababu nilizuiwa mara nyingi nisije kwenu. |
Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?
Lakini, ndugu zangu, sipendi msiwe na habari, ya kuwa mara nyingi nilikusudia kuja kwenu, nikazuiliwa mpaka sasa, ili nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia kama nilivyo nayo katika Mataifa wengine.