Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Walawi 9:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Huyo ng'ombe dume naye akamchinja, na huyo kondoo dume pia, dhabihu ya sadaka za amani, zilizokuwa kwa ajili ya watu; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote,

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Halafu Aroni akamchinja pia fahali na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wanawe wakamletea damu ambayo aliinyunyizia madhabahu pande zote.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Akachinja maksai na kondoo dume kuwa sadaka ya amani kwa ajili ya watu. Wanawe Haruni wakampa ile damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Akachinja maksai na kondoo dume kama sadaka ya amani kwa ajili ya watu. Wanawe Haruni wakampa ile damu, naye akainyunyiza kwenye madhabahu pande zote.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Huyo ng'ombe dume naye akamchinja, na huyo kondoo dume pia, dhabihu ya sadaka za amani, zilizokuwa kwa ajili ya watu; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote,

Tazama sura
Tafsiri zingine

Walawi 9:18
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha wana wa Haruni wakamsogezea Haruni ile damu; naye akatia kidole chake katika damu, na kuitia katika pembe za madhabahu, kisha akaimwaga hiyo damu hapo chini ya madhabahu;

Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na muwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,

Kwa maana ikiwa tulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake; zaidi sana baada ya kupatanishwa tutaokolewa katika uzima wake.

na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.