Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Walawi 7:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Nena na wana wa Israeli uwaambie, Yeye asongezaye dhabihu yake ya sadaka za amani kwa BWANA, atamletea BWANA matoleo yake, kutoka katika ile dhabihu ya sadaka zake za amani;

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

“Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

“Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

“Waambie watu wa Israeli hivi: Mtu yeyote akitoa sadaka ya amani, atampa Mwenyezi-Mungu sehemu ya sadaka hiyo.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

“Waambie Waisraeli: ‘Mtu yeyote aletaye sadaka ya amani kwa bwana ataleta sehemu ya sadaka hiyo kama dhabihu yake kwa bwana.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Nena na wana wa Israeli uwaambie, Yeye asongezaye dhabihu yake ya sadaka za amani kwa BWANA, atamletea BWANA matoleo yake, kutoka katika ile dhabihu ya sadaka zake za amani;

Tazama sura
Tafsiri zingine

Walawi 7:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa BWANA, ni hii.

BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;

na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.

bali tukienenda katika nuru, kama yeye alivyo katika nuru, tunashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.

wala haki ya makuhani ilivyokuwa kwa watu. Wakati huo mtu yeyote alipotoa dhabihu wakati wowote, ndipo huja mtumishi wa kuhani, nyama ilipokuwa katika kutokota, naye akawa na uma wa meno matatu mkononi mwake;