Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.
Walawi 26:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mnaenda kinyume; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga, Biblia Habari Njema - BHND “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga, Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami, Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami, BIBLIA KISWAHILI Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiliza, bali mnaenda kinyume; |
Basi, tukamtokosa mtoto wangu, tukamla; nikamwambia siku ya pili, Mtoe mtoto wako, tumle; naye amemficha mtoto wake.
Nanyi ikiwa mnaenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo.
Hapo nitakapovunja tegemeo lenu la mkate, wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuri moja, nao watawapa mikate yenu tena kwa kupima kwa mizani; nanyi mtakula, lakini hamtashiba.
ndipo nami nitawaendea kinyume katika ghadhabu yangu; nami nitawaadhibu mara saba kwa dhambi zenu.
Kama vile mataifa yale ambayo BWANA anawaangamiza mbele yenu, ndivyo mtakavyoangamia; kwa sababu hamkutaka kuisikiliza sauti ya BWANA, Mungu wenu.