Walawi 26:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Zishikeni Sabato zangu, na kupastahi patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Shikeni sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Zishikeni Sabato zangu na kuheshimu mahali patakatifu pangu. Mimi ndimi bwana. BIBLIA KISWAHILI Zishikeni Sabato zangu, na kupastahi patakatifu pangu; mimi ndimi BWANA. |
Kisha, nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati yenu na mimi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi.