Walawi 25:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na kwa wanyama wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; mavuno yote yatakuwa ni chakula chao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Biblia Habari Njema - BHND Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu. Neno: Bibilia Takatifu vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. Neno: Maandiko Matakatifu vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa. BIBLIA KISWAHILI na kwa wanyama wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; mavuno yote yatakuwa ni chakula chao. |
Na hiyo Sabato ya nchi itakuwa chakula kwenu; kwako wewe, na kwa mtumishi wako, na kwa mjakazi wako, na kwa mtumishi aliyeajiriwa, na kwa mgeni wako akaaye pamoja nawe;
Nawe utajihesabia Sabato saba za miaka, maana, miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za Sabato saba za miaka kwenu, maana miaka arubaini na tisa.