Ikiwa mtu atafunua shimo, au kuchimba shimo, naye asilifunike, kisha ikawa ng'ombe au punda kutumbukia humo,
Walawi 24:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na atakayempiga mnyama hadi akafa atalipa; uhai kwa uhai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu yeyote anayeua mnyama ni lazima atoe fidia: Uhai kwa uhai. Biblia Habari Njema - BHND Mtu yeyote anayeua mnyama ni lazima atoe fidia: Uhai kwa uhai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu yeyote anayeua mnyama ni lazima atoe fidia: uhai kwa uhai. Neno: Bibilia Takatifu Mtu yeyote auaye mnyama wa mtu mwingine lazima afidie, uhai kwa uhai. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu yeyote auaye mnyama wa mtu mwingine lazima afidie, uhai kwa uhai. BIBLIA KISWAHILI na atakayempiga mnyama hadi akafa atalipa; uhai kwa uhai. |
Ikiwa mtu atafunua shimo, au kuchimba shimo, naye asilifunike, kisha ikawa ng'ombe au punda kutumbukia humo,
Na mtu akimtia mwenziwe kilema; vile vile kama alivyofanya, naye atafanyiwa vivyo hivyo;
ndipo itakapokuwa, akiwa amefanya dhambi, na kupata hatia, atarudisha hicho alichokipata kwa kunyang'anya, au kitu kile alichokipata kwa kuonea, au ile amana aliyowekewa, au kitu kile kilichopotea alichokipata yeye,