Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Walawi 24:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na mtu ampigaye mtu hadi akafa, lazima atauawa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe. Biblia Habari Njema - BHND Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu yeyote anayeua mtu mwingine ni lazima naye auawe. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe. BIBLIA KISWAHILI Na mtu ampigaye mtu hadi akafa, lazima atauawa; |
Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko.
Lakini kama alimpiga kwa chombo cha chuma, akafa, ni mwuaji huyo; mwuaji hakika yake atauawa.