Walawi 22:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” Biblia Habari Njema - BHND Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.” Neno: Bibilia Takatifu na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.” Neno: Maandiko Matakatifu na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi bwana.” BIBLIA KISWAHILI niliyewaleta mtoke nchi ya Misri, ili niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA. |
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwakomboaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Kwa kuwa mimi ni BWANA niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.
Mizani ya haki, vipimo vya haki, efa ya haki, hini ya haki, ndivyo mtakavyokuwa navyo. Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri.
Wala msilinajisi jina langu takatifu; lakini nitatakaswa mimi katika wana wa Israeli; mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi,
Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili niwape nchi ya Kanaani, nipate kuwa Mungu wenu.
Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.