Walawi 22:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Italiwa siku iyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Ni lazima iliwe siku hiyo hiyo, pasipo kubakiza chochote hadi asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi bwana. BIBLIA KISWAHILI Italiwa siku hiyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA. |