isipokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu, kwa ajili ya mama yake, na kwa ajili baba yake, na kwa ajili ya mwanawe, na kwa ajili ya binti yake, na kwa ajili ya nduguye mwanamume;
Walawi 21:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Biblia Habari Njema - BHND au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza au dada yake ambaye (aliye wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado. Neno: Bibilia Takatifu au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. Neno: Maandiko Matakatifu au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi. BIBLIA KISWAHILI na kwa ajili ya dada yake aliye mwanamwali, aliye wa udugu kwake, ambaye hajaolewa na mwanamume; ana ruhusa kujitia unajisi kwa ajili yake huyo. |
isipokuwa ni kwa ajili ya jamaa yake wa karibu, kwa ajili ya mama yake, na kwa ajili baba yake, na kwa ajili ya mwanawe, na kwa ajili ya binti yake, na kwa ajili ya nduguye mwanamume;
Na binti ya kuhani ikiwa ameolewa na mgeni, asile katika sadaka ya kuinuliwa katika vitu vile vitakatifu.