Lakini hataingia ndani ya pazia, wala asikaribie madhabahu, kwa sababu ana kilema; ili kwamba asipanajisi patakatifu pangu; kwa kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Walawi 21:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Biblia Habari Njema - BHND Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose akamweleza Aroni na wanawe na Waisraeli wote mambo hayo yote. Neno: Bibilia Takatifu Basi Musa akanena na Haruni, na wanawe, na Waisraeli wote. Neno: Maandiko Matakatifu Basi Musa akamwambia Haruni jambo hili na wanawe, pamoja na Waisraeli wote. BIBLIA KISWAHILI Basi Musa akanena na Haruni na wanawe, na wana wa Israeli wote. |
Lakini hataingia ndani ya pazia, wala asikaribie madhabahu, kwa sababu ana kilema; ili kwamba asipanajisi patakatifu pangu; kwa kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Mwanangu Timotheo, nakukabidhi agizo hilo liwe akiba, kwa ajili ya maneno ya unabii yaliyonenwa awali juu yako, ili katika hayo uweze kupigana vile vita vizuri;
Na mambo yale uliyoyasikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha wengine vile vile.