Kwa kuwa mtu aliye na kasoro ya kimwili hatakaribia, asiyeoana, aliyelemaa mguu au mtu aliyejeruhika uso, au kiungo kilichozidi vimpasavyo mwili,
Walawi 21:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mwenye mguu au mkono ulioumia, Biblia Habari Njema - BHND mwenye mguu au mkono ulioumia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mwenye mguu au mkono ulioumia, Neno: Bibilia Takatifu hakuna mtu mwenye mguu au mkono uliolemaa, Neno: Maandiko Matakatifu hakuna mtu mwenye mguu au mkono uliolemaa, BIBLIA KISWAHILI au mtu aliyevunjika mguu, au aliyevunjika mkono, |
Kwa kuwa mtu aliye na kasoro ya kimwili hatakaribia, asiyeoana, aliyelemaa mguu au mtu aliyejeruhika uso, au kiungo kilichozidi vimpasavyo mwili,
au aliye na kibyongo, au aliyedumaa, au aliye na kilema cha jichoni, au aliye na upele, au mwenye buba, au aliyevunjika mapumbu;