Yuda akavikiri, akasema, Yeye ni mwenye haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumpa Shela, mwanangu. Wala hakumjua tena baada ya hayo.
Walawi 18:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye. Biblia Habari Njema - BHND Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye. BIBLIA KISWAHILI Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo. |
Yuda akavikiri, akasema, Yeye ni mwenye haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumpa Shela, mwanangu. Wala hakumjua tena baada ya hayo.
Na mtu mmoja amefanya chukizo pamoja na mke wa jirani yake; na mtu mwingine amemharibu mke wa mwanawe kwa uasherati; na mtu mwingine ndani yako amemfanyia nguvu dada yake, binti ya babaye.
Na mwanamume akilala na mkwewe mwanamke, wote wawili hakika watauawa; wamefanya yaliyo upotovu; damu yao itakuwa juu yao.