Walawi 18:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Biblia Habari Njema - BHND Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako. BIBLIA KISWAHILI Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi yako. |
Tena mwanamume akilala na mke wa mjomba wake, ameufunua utupu wa mjomba wake; watauchukua uovu wao; watakufa bila kuzaa mwana.