Walawi 18:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usifunue utupu wa dada ya mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako wa karibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Biblia Habari Njema - BHND Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu. BIBLIA KISWAHILI Usifunue utupu wa dada ya mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako wa karibu. |
Usifunue utupu wa dada ya mama yako, wala dada ya baba yako; kwa kuwa huyo amefunua utupu wa jamaa yake ya karibu; watalipizwa kwa uovu wao.