Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake.
Walawi 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kitanda chochote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Biblia Habari Njema - BHND Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi. BIBLIA KISWAHILI Kitanda chochote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu chochote atakachokalia kitakuwa najisi. |
Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake.
Mtu yeyote atakayekigusa kitanda chake huyo, atazifua nguo zake, na kuoga mwili wake majini, naye atakuwa najisi hadi jioni.
Vitu vyote ni safi kwa hao walio safi; lakini hakuna kilicho safi kwao walio wanajisi, wasioamini; bali akili zao zimekuwa najisi, na nia zao pia.