Walawi 15:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose na Aroni, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akawaambia Musa na Haruni, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akawaambia Musa na Haruni, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, |
Haya, semeni na wana wa Israeli, mkawaambie, Mtu yeyote atakapokuwa na kisonono na kutokwa usaha mwilini mwake, atakuwa najisi kwa ajili ya kisonono chake.
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Na kitu chochote atakachokigusa mtu aliye najisi kitakuwa najisi; na mtu atakayekigusa kitu hicho atakuwa najisi hadi jioni.
Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,