Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,
Walawi 14:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC ndipo kuhani ataingia ndani na kuangalia, likiwa pigo limeenea ndani ya hiyo nyumba, ni ukoma unaodhuru hiyo nyumba; ni unajisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi. Biblia Habari Njema - BHND yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi. Neno: Bibilia Takatifu kuhani ataenda kuikagua, na kama ukoma umeenea ndani ya nyumba, basi ni ukoma unaoharibu; nyumba hiyo ni najisi. Neno: Maandiko Matakatifu kuhani atakwenda kuikagua, na kama upele umeenea ndani ya nyumba, basi ni upele uharibuo; nyumba hiyo ni najisi. BIBLIA KISWAHILI ndipo kuhani ataingia ndani na kuangalia, likiwa pigo limeenea ndani ya hiyo nyumba, ni ukoma unaodhuru hiyo nyumba; ni unajisi. |
Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,
Nitaituma itokee, asema BWANA wa majeshi, nayo itaingia katika nyumba ya mwizi, na katika nyumba ya yeyote aapaye kwa uongo kwa jina langu; nayo itakaa katika nyumba yake, na kuiteketeza, pamoja na boriti zake na mawe yake.