Lakini ikiwa kipaku king'aacho katika ngozi ya mwili wake ni cheupe, na kuonekana si shimo la kuingia ndani kuliko ngozi wala nywele hazikugeuka kuwa nyeupe, ndipo kuhani atamweka mahali muda wa siku saba huyo aliye na hilo pigo;
Walawi 14:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC ndipo kuhani atatoka katika nyumba hiyo mpaka mlangoni pa nyumba, na kuifunga hiyo nyumba muda wa siku saba; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba. Biblia Habari Njema - BHND basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba. Neno: Bibilia Takatifu kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba. Neno: Maandiko Matakatifu kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba. BIBLIA KISWAHILI ndipo kuhani atatoka katika nyumba hiyo mpaka mlangoni pa nyumba, na kuifunga hiyo nyumba muda wa siku saba; |
Lakini ikiwa kipaku king'aacho katika ngozi ya mwili wake ni cheupe, na kuonekana si shimo la kuingia ndani kuliko ngozi wala nywele hazikugeuka kuwa nyeupe, ndipo kuhani atamweka mahali muda wa siku saba huyo aliye na hilo pigo;
na kuhani ataliangalia hilo pigo, naye atakiweka mahali kile kilicho na pigo muda wa siku saba;
naye ataliangalia hilo pigo, na tazama, likiwa pigo limo ndani ya kuta za nyumba, nalo lina mashimo-mashimo, rangi ya majani, au mekundu, na kuonekana kuingia ndani kuliko huo ukuta;
siku ya saba kuhani atakwenda tena, naye ataangalia; na tazama, likiwa pigo limeenea katika kuta za nyumba;