Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Walawi 11:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi ni machukizo; hakitaliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile. Biblia Habari Njema - BHND “Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kiumbe chochote kitambaacho duniani ni najisi kwenu, kamwe msikile. Neno: Bibilia Takatifu “ ‘Kila kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi ni chukizo; kisiliwe. Neno: Maandiko Matakatifu “ ‘Kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi ni chukizo; kisiliwe. BIBLIA KISWAHILI Na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi ni machukizo; hakitaliwa. |
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Wakafa watu wote waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Miongoni mwa viumbe watambaao juu ya nchi, hawa ni najisi kwenu; kicheche, panya na mjombakaka kwa aina zake,
Kila aendaye kwa tumbo lake, na kila aendaye kwa miguu minne, na kila aendaye kwa miguu mingi, maana, ni vyote vyenye kutambaa vitambaavyo juu ya nchi, hamtavila, kwa kuwa ni machukizo.