Walawi 11:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Chakula chochote cha kuliwa kitakuwa najisi kikitiwa maji ya chombo hicho; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Biblia Habari Njema - BHND Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Chakula au kinywaji chochote kilichokuwa ndani ya chombo hicho kitakuwa najisi. Neno: Bibilia Takatifu Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka chungu hicho ni najisi. Neno: Maandiko Matakatifu Chakula chochote ambacho chaweza kuliwa lakini kikawa kimeingia maji kutoka kwenye chungu hicho ni najisi, na kitu chochote cha majimaji ambacho chaweza kunyweka kutoka kwenye chungu hicho ni najisi. BIBLIA KISWAHILI Chakula chochote cha kuliwa kitakuwa najisi kikitiwa maji ya chombo hicho; na kila kinyweo ambacho ni cha kunywewa, kilichomo katika chombo kama hicho, kitakuwa ni najisi. |
Na kila chombo cha udongo, wanyama hao mmojawapo atakachokiangukia, kila kilichomo ndani yake kitakuwa ni najisi, na hicho chombo kitavunjwa.
Na kila kitu kitakachoangukiwa na kipande chochote cha mizoga yao kitakuwa najisi; iwe ni tanuri, au meko ya vyungu, kitavunjwa vipande vipande; ni najisi vitu hivyo, navyo vitakuwa najisi kwenu.
Vitu vyote ni safi kwa hao walio safi; lakini hakuna kilicho safi kwao walio wanajisi, wasioamini; bali akili zao zimekuwa najisi, na nia zao pia.