Miongoni mwa viumbe watambaao juu ya nchi, hawa ni najisi kwenu; kicheche, panya na mjombakaka kwa aina zake,
Walawi 11:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na guruguru kenge, mjusi, goromoe na lumbwi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema guruguru, kenge, mijusi, goromwe, na kinyonga. Biblia Habari Njema - BHND guruguru, kenge, mijusi, goromwe, na kinyonga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza guruguru, kenge, mijusi, goromwe, na kinyonga. Neno: Bibilia Takatifu guruguru, kenge, mijusi ya ukutani, goromoe na kinyonga. Neno: Maandiko Matakatifu guruguru, kenge, mijusi ya ukutani, goromoe na kinyonga. BIBLIA KISWAHILI na guruguru kenge, mjusi, goromoe na lumbwi. |
Miongoni mwa viumbe watambaao juu ya nchi, hawa ni najisi kwenu; kicheche, panya na mjombakaka kwa aina zake,
Wanyama hao ndio walio najisi kwenu katika hao watambaao; yeyote atakayewagusa, wakiisha kuwa mgoza, atakuwa ni najisi hata jioni.