Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Walawi 11:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wadudu wengine wote wenye mabawa na miguu minne ni najisi kwenu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu. BIBLIA KISWAHILI Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu. |
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.
Nanyi mtakuwa najisi kwa wanyama hao; kila atakayegusa mzoga wao atakuwa ni najisi hata jioni;
Tena kila mnyama aendaye kwa vitanga vyake, katika hao wanyama wote waendao kwa miguu minne, hao ni najisi kwenu; awaye yote atakayegusa mizoga yao, atakuwa ni najisi hata jioni.
au mtu amgusaye mnyama atambaaye, wa kumpatia unajisi, au kwamba amgusa mtu wa kumpatia unajisi, kwa unajisi wowote ule alio nao;
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.