Walawi 11:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na korongo, na koikoi kwa aina zake, na hudihudi, na popo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema korongo, aina zote za koikoi, hudihudi na popo. Biblia Habari Njema - BHND korongo, aina zote za koikoi, hudihudi na popo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza korongo, aina zote za koikoi, hudihudi na popo. Neno: Bibilia Takatifu korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. Neno: Maandiko Matakatifu korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. BIBLIA KISWAHILI na korongo, na koikoi kwa aina zake, na hudihudi, na popo. |
Siku hiyo kila mtu atazitupilia mbali sanamu zake za fedha, na sanamu zake za dhahabu, walizojitengenezea ili kuziabudu, kwa fuko na popo;
Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.
Ndipo nikainua macho yangu, nikaona, na tazama, wanawake wawili walitokea, nao upepo ulikuwa katika mabawa yao; na mabawa yao yalikuwa kama mabawa ya korongo; wakaiinua ile efa kati ya dunia na mbingu.