Walawi 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na kila kunguru kwa aina zake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema aina zote za kunguru, Biblia Habari Njema - BHND aina zote za kunguru, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza aina zote za kunguru, Neno: Bibilia Takatifu aina zote za kunguru, Neno: Maandiko Matakatifu aina zote za kunguru, BIBLIA KISWAHILI na kila kunguru kwa aina zake; |
Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama jioni, akanywa maji ya kile kijito.
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling'oa, Na vifaranga vya tai watalila.
Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, lakini Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!