Basi kwa siku nyingi Israeli wamekuwa hawana Mungu wa kweli, wala hawana kuhani afundishaye, wala hawana torati;
Walawi 10:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha BWANA akanena na Haruni, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu aliongea na Aroni, akasema, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu aliongea na Aroni, akasema, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu aliongea na Aroni, akasema, Neno: Bibilia Takatifu Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Haruni, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha bwana akamwambia Haruni, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Haruni, na kumwambia, |
Basi kwa siku nyingi Israeli wamekuwa hawana Mungu wa kweli, wala hawana kuhani afundishaye, wala hawana torati;
Wala hamtatoka nje mlangoni mwa hema ya kukutania, msije mkafa; kwa sababu mafuta ya kutiwa ya BWANA yako juu yenu. Nao wakafanya kama hilo neno la Musa.
Usinywe divai wala kileo chochote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;