Kwa maana hakuna neno lililositirika, ila kusudi lije kudhihirika; wala hakuna lililofichwa, ila kusudi lije kutokea wazi.
Wakolosai 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC naye alitueleza upendo wenu katika Roho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho. Biblia Habari Njema - BHND Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho. Neno: Bibilia Takatifu ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho wa Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho wa Mwenyezi Mungu. BIBLIA KISWAHILI naye alitueleza upendo wenu katika Roho. |
Kwa maana hakuna neno lililositirika, ila kusudi lije kudhihirika; wala hakuna lililofichwa, ila kusudi lije kutokea wazi.
Ndugu zangu, nawasihi kwa Bwana wetu Yesu Kristo, na kwa upendo wa Roho, jitahidini pamoja nami katika maombi yenu kwa ajili yangu mbele za Mungu;
na tumaini halitahayarishi; kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi.
tangu tuliposikia habari za imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo mlio nao kwa watakatifu wote;
Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo safi.