Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Wagalatia 5:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni. Biblia Habari Njema - BHND Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni. Neno: Bibilia Takatifu Ushawishi kama huo haukutoka kwa yule anayewaita. Neno: Maandiko Matakatifu Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita. BIBLIA KISWAHILI Kushawishi huku hakukutoka kwake yeye anayewaita ninyi. |
Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.
Nashangaa kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia Injili ya namna nyingine.