Bali ukialikwa, nenda ukaketi mahali pa nyuma, ili ajapo yule aliyekualika akuambie, Rafiki yangu, njoo huku mbele zaidi; ndipo utakapokuwa na utukufu mbele ya wote walioketi pamoja nawe.
Wagalatia 5:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu. Neno: Bibilia Takatifu Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu. Neno: Maandiko Matakatifu Tusijisifu bure, tukichokozana na kuoneana wivu. BIBLIA KISWAHILI Tusijisifu bure, tukichokozana na kuhusudiana. |
Bali ukialikwa, nenda ukaketi mahali pa nyuma, ili ajapo yule aliyekualika akuambie, Rafiki yangu, njoo huku mbele zaidi; ndipo utakapokuwa na utukufu mbele ya wote walioketi pamoja nawe.
Nanyi pia, ninyi wenyewe mnajua, enyi Wafilipi, ya kuwa katika mwanzo wa Injili, nilipotoka Makedonia, hakuna kanisa lingine lililoshirikiana nami katika habari hii ya kutoa na kupokea, ila ninyi peke yenu.
Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.