Wagalatia 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Biblia Habari Njema - BHND Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Neno: Bibilia Takatifu Lakini mkiongozwa na Roho wa Mungu, hamko chini ya Torati. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kama mkiongozwa na Roho, hamko chini ya sheria. BIBLIA KISWAHILI Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria. |
Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu, nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda.
Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
Kadhalika, ndugu zangu, ninyi pia mmeifia torati, kwa njia ya mwili wa Kristo, mpate kuwa mali ya mwingine, yeye aliyefufuka katika wafu, kusudi tumzalie Mungu matunda.
akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu asiye na hatia, bali wavunjao sheria, waasi, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji,