Wagalatia 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Biblia Habari Njema - BHND Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: Yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu. Neno: Bibilia Takatifu Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile “Ibrahimu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.” BIBLIA KISWAHILI Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki. |
bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu;
Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Abrahamu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.