Wagalatia 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia. Biblia Habari Njema - BHND na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia. Neno: Bibilia Takatifu na ndugu wote walio pamoja nami. Kwa makundi ya waumini wa Galatia. Neno: Maandiko Matakatifu na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makundi ya waumini ya Galatia: BIBLIA KISWAHILI na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia; |
Baada ya kukaa huko kwa siku kadhaa akaondoka, akapita kati ya nchi ya Galatia na Frigia, mji kwa mji, akiwatia moyo wanafunzi.
Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.
Kuhusu ile michango kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisa ya Galatia, nanyi fanyeni vivyo hivyo.
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulubiwa?
Ila mwajua sifa yake, ya kuwa ametumika pamoja nami kwa ajili ya Injili, kama mwana na baba yake.