Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Waefeso 5:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema maana sisi ni viungo vya mwili wake). Biblia Habari Njema - BHND maana sisi ni viungo vya mwili wake). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza maana sisi ni viungo vya mwili wake). Neno: Bibilia Takatifu Sisi tu viungo vya mwili wake. Neno: Maandiko Matakatifu Sisi tu viungo vya mwili wake. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. |
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.
Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? La hasha!
Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake popote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea kanisa.
wala hakishiki Kichwa, ambacho kwa yeye mwili wote ukineemeshwa na kuungamanishwa kwa viungo na mishipa, hukua kama atakavyo Mungu.