Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuhifadhi kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja?
Waefeso 4:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wala msimpe Ibilisi nafasi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msimpe Ibilisi nafasi. Biblia Habari Njema - BHND Msimpe Ibilisi nafasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msimpe Ibilisi nafasi. Neno: Bibilia Takatifu wala msimpe ibilisi nafasi. Neno: Maandiko Matakatifu wala msimpe ibilisi nafasi. BIBLIA KISWAHILI wala msimpe Ibilisi nafasi. |
Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuhifadhi kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja?
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.
Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.