Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Waefeso 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bali ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini nyinyi hamkujifunza hivyo juu ya Kristo. Neno: Bibilia Takatifu Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Al-Masihi. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Al-Masihi. BIBLIA KISWAHILI Bali ninyi, hivyo sivyo mlivyojifunza Kristo; |
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu.
ikiwa kwa hakika mlisikia habari zake na kufundishwa katika yeye, kama kweli ilivyo katika Yesu,
Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yanakaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama mafuta yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake.