nawe utasikia wanayoyasema, na baada ya haya, mikono yako itatiwa nguvu; ushuke kambini. Ndipo akashuka pamoja na Pura mtumishi wake hadi katika vituo vya walinda zamu wa kambi ya Wamidiani.
Waamuzi 7:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini, ukiogopa kushuka, shuka pamoja na Pura mtumishi wako kambini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura. Biblia Habari Njema - BHND Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini kama unaogopa, nenda pamoja na mtumishi wako Pura. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kama unaogopa kushambulia, shuka kambini pamoja na mtumishi wako Pura, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kama unaogopa kushambulia, shuka kambini pamoja na mtumishi wako Pura, BIBLIA KISWAHILI Lakini, ukiogopa kushuka, shuka pamoja na Pura mtumishi wako kambini; |
nawe utasikia wanayoyasema, na baada ya haya, mikono yako itatiwa nguvu; ushuke kambini. Ndipo akashuka pamoja na Pura mtumishi wake hadi katika vituo vya walinda zamu wa kambi ya Wamidiani.
Ikawa usiku uo huo BWANA akamwambia, Ondoka, shuka kambini; maana nimeitia katika mikono yako.
Ndipo Daudi akajibu, akamwambia Ahimeleki, Mhiti, na Abishai, mwana wa Seruya, ndugu yake Yoabu, akisema, Ni nani atakayeshuka pamoja nami kwa Sauli kambini? Abishai akasema, Mimi nitashuka pamoja nawe.