Wana wa Israeli wakakwea juu na kulia mbele za BWANA hadi jioni; wakamwuliza BWANA, wakisema, Je! Niende nikaribie tena kupiga vita juu ya wana wa Benyamini ndugu yangu? BWANA akasema, Haya, kweeni, mwende kupigana naye.
Waamuzi 20:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema - BHND Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hivyo siku ya pili Waisraeli wakakaribia kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Waisraeli wakawakaribia Wabenyamini siku ya pili. BIBLIA KISWAHILI Basi wana wa Israeli wakakaribia juu ya wana wa Benyamini siku ya pili. |
Wana wa Israeli wakakwea juu na kulia mbele za BWANA hadi jioni; wakamwuliza BWANA, wakisema, Je! Niende nikaribie tena kupiga vita juu ya wana wa Benyamini ndugu yangu? BWANA akasema, Haya, kweeni, mwende kupigana naye.
Benyamini alitoka kupigana nao kutoka Gibea siku ya pili, wakawaua watu elfu kumi na nane tena katika watu wa Israeli; hao wote walikuwa wamejihami.