Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao wakatoka Shitimu, wakafika katika mto wa Yordani, yeye na wana wa Israeli wote, wakakaa hapo kabla ya kuvuka.
Waamuzi 20:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao ili kuvamia Gibea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Waisraeli wakaenda asubuhi, wakapiga kambi yao karibu na mji wa Gibea. Neno: Bibilia Takatifu Kesho yake asubuhi, Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea. Neno: Maandiko Matakatifu Asubuhi yake Waisraeli wakaamka na kupiga kambi karibu na Gibea. BIBLIA KISWAHILI Basi wana wa Israeli waliondoka asubuhi, wakapanga hema zao ili kuvamia Gibea. |
Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, nao wakatoka Shitimu, wakafika katika mto wa Yordani, yeye na wana wa Israeli wote, wakakaa hapo kabla ya kuvuka.
Basi Yoshua akaondoka asubuhi na mapema, akawasongeza Israeli kabila kwa kabila; kabila la Yuda likatwaliwa.
Basi wana wa Israeli wakainuka, wakakwea kwenda Betheli, nao wakataka shauri kwa Mungu; wakasema, Ni nani atakayekwea kwenda vitani kwanza kwa ajili yetu juu ya wana wa Benyamini? BWANA akawaambia, Yuda atakwea kwanza.
Watu wa Israeli waliondoka ili wapigane na Benyamini; nao watu wa Israeli wakaviandaa vita juu yao huko Gibea.