Mtu atakapomshika ndugu yake ndani ya nyumba ya baba yake, akisema, Wewe una nguo, ututawale wewe; na mahali hapa palipobomoka pawe chini ya mkono wako;
Waamuzi 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wakamwambia Yeftha, Njoo wewe uwe kichwa chetu, ili tupate kupigana na wana wa Amoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.” Biblia Habari Njema - BHND wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakamwambia, “Njoo utuongoze katika vita vyetu na Waamoni.” Neno: Bibilia Takatifu Wakamwambia Yefta, “Njoo, uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamwambia Yefta, “Uwe jemadari wetu, ili tuweze kupigana na Waamoni.” BIBLIA KISWAHILI wakamwambia Yeftha, Njoo wewe uwe kichwa chetu, ili tupate kupigana na wana wa Amoni. |
Mtu atakapomshika ndugu yake ndani ya nyumba ya baba yake, akisema, Wewe una nguo, ututawale wewe; na mahali hapa palipobomoka pawe chini ya mkono wako;
Wakati huo wana wa Amoni walikutana pamoja, wakapiga kambi huko Gileadi. Wana wa Israeli nao wakajikusanya wakapiga kambi Mispa.
Ikatukia, hapo wana wa Amoni walipopigana na Israeli, wazee wa Gileadi wakaenda kumtwaa huyo Yeftha katika ile nchi ya Tobu;
Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, Je! Ninyi hamkunichukia mimi na kunifukuza nitoke katika nyumba ya baba yangu? Kwa nini basi mnanijia hivi sasa wakati mkiwa katika taabu?