Wakati huo wana wa Amoni walikutana pamoja, wakapiga kambi huko Gileadi. Wana wa Israeli nao wakajikusanya wakapiga kambi Mispa.
Waamuzi 11:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikawa baadaye, wana wa Amoni wakapigana na Israeli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya muda fulani, Waamoni waliwashambulia Waisraeli. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya muda fulani, Waamoni waliwashambulia Waisraeli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya muda fulani, Waamoni waliwashambulia Waisraeli. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya muda Waamoni wakafanya vita na Israeli, Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya muda Waamoni wakafanya vita na Israeli, BIBLIA KISWAHILI Ikawa baadaye, wana wa Amoni wakapigana na Israeli. |
Wakati huo wana wa Amoni walikutana pamoja, wakapiga kambi huko Gileadi. Wana wa Israeli nao wakajikusanya wakapiga kambi Mispa.
Na hao watu, wakuu wa Gileadi, wakaambiana wao kwa wao, Je! Ni mtu yupi atakayeanza kupigana na wana wa Amoni? Yeye atakuwa ni kichwa juu ya wenyeji wote wa Gileadi.
Wana wa Amoni nao wakavuka Yordani ili wapigane na Yuda, na kupigana na Benyamini, na nyumba ya Efraimu; basi hivyo Israeli walikuwa wanasumbuliwa sana.
Ikatukia, hapo wana wa Amoni walipopigana na Israeli, wazee wa Gileadi wakaenda kumtwaa huyo Yeftha katika ile nchi ya Tobu;
Ikawa, kama baada ya mwezi mmoja, Nahashi, Mwamoni, akakwea na kupiga kambi juu ya Yabesh-gileadi; na watu wote wa Yabeshi wakamwambia Nahashi, Fanya mapatano nasi, na sisi tutakutumikia.