Huyo alikuwa na watoto wa kiume thelathini waliokuwa wakipanda wanapunda thelathini, nao walikuwa na miji thelathini, ambayo inaitwa Hawoth-yairi hata hivi leo, nayo iko katika nchi ya Gileadi.
Waamuzi 10:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yairi akafa, akazikwa huko Kamoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yairi alifariki na kuzikwa huko Kamoni. Biblia Habari Njema - BHND Yairi alifariki na kuzikwa huko Kamoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yairi alifariki na kuzikwa huko Kamoni. Neno: Bibilia Takatifu Yairi akafa, naye akazikwa huko Kamoni. Neno: Maandiko Matakatifu Yairi akafa, naye akazikwa huko Kamoni. BIBLIA KISWAHILI Yairi akafa, akazikwa huko Kamoni. |
Huyo alikuwa na watoto wa kiume thelathini waliokuwa wakipanda wanapunda thelathini, nao walikuwa na miji thelathini, ambayo inaitwa Hawoth-yairi hata hivi leo, nayo iko katika nchi ya Gileadi.
Kisha wana wa Israeli walifanya tena yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA, wakawatumikia Mabaali, na Maashtorethi, na miungu ya Shamu, na miungu ya Sidoni, na miungu ya Moabu, na miungu ya wana wa Amoni, na miungu ya Wafilisti; nao wakamuacha BWANA, wala hawakumtumikia yeye.
Nao wakawasumbua na kuwaonea wana wa Israeli mwaka huo; waliwaonea wana wa Israeli wote waliokuwa ng'ambo ya pili ya Yordani katika nchi ya Waamori, iliyoko huko Gileadi, muda wa miaka kumi na minane.