Ufunuo 2:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Biblia Habari Njema - BHND “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Neno: Bibilia Takatifu Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini. BIBLIA KISWAHILI Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. |
Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.