Tobiti 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi, Tobiti, nimekwenda katika njia za kweli na haki siku zote za maisha yangu. Nikawakirimia ndugu zangu sadaka nyingi, pia na watu wa taifa langu waliokuja pamoja nami katika nchi ya Waashuri mpaka Ninawi. Biblia Habari Njema - BHND Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. BIBLIA KISWAHILI Mimi, Tobiti, nimekwenda katika njia za kweli na haki siku zote za maisha yangu. Nikawakirimia ndugu zangu sadaka nyingi, pia na watu wa taifa langu waliokuja pamoja nami katika nchi ya Waashuri mpaka Ninawi. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Mimi Tobiti nimefuata njia za haki na kutenda mema maisha yangu yote. Mara nyingi niliwasaidia jamaa na Wayahudi wenzangu maskini waliohamishiwa pamoja nami huko Ninewi, nchini Ashuru. |