Tobiti 1:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kumbe! Hazijapita siku hamsini na tano hata wanawe wawili walimwua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Naye Esar-hadoni mwanawe akatawala mahali pake; akaweka Akiakaro, mwana wa ndugu yangu Anaeli, juu ya takwimu zote za ufalme wake, na juu ya mambo yake yote. Biblia Habari Njema - BHND Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. BIBLIA KISWAHILI Kumbe! Hazijapita siku hamsini na tano hata wanawe wawili walimwua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Naye Esar-hadoni mwanawe akatawala mahali pake; akaweka Akiakaro, mwana wa ndugu yangu Anaeli, juu ya takwimu zote za ufalme wake, na juu ya mambo yake yote. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Ilipokuwa bado hata hazijapita siku hamsini wana wawili wa Senakeribu walimuua baba yao, wakakimbilia kwenye milima ya Ararati. Esar-hadoni, mwana mwingine wa Senakeribu, akawa mfalme; akamteua Ahika, mwana wa ndugu yangu Anaeli, awe waziri wa fedha na mratibu wa mambo yote ya utawala. |