Tobiti 1:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo mali zangu zote zilipotwaliwa, wala sikubakizwa na kitu ila mke wangu Ana, na mwanangu Tobia. Biblia Habari Njema - BHND Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. BIBLIA KISWAHILI Ndipo mali zangu zote zilipotwaliwa, wala sikubakizwa na kitu ila mke wangu Ana, na mwanangu Tobia. BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA Mali yangu yote ikataifishwa na kuwekwa katika hazina ya mfalme. Nilibakiwa tu na mke wangu Ana na mwanangu Tobia. |